Kama Mita Yako aina tatizo lolote,fuata maelekezo hapa chini.
Mara nyingi hakikisha umechomeka kifaa chako cha kuingizia umeme kwenye socket yoyote inayotumika meter unayotaka kuweka umeme.
1.Ukishanunua Umeme,kwa njia ya Simu,Bank au kwa watoa huduma mfano Selcom n.k.
2.Soma Tarakimu zako na kisha nenda kwenye mita yako au uchukue kifaa chako (King'ámuzi,rimoti,CIU) uanze kuingiza namba mojamoja na kwa ufasaha.
3.Bonyeza mshale uliojikunja upande wa kulia chini kabisa.
![]() |
Ukishaingiza namba zako zote,bonyeza hapo nlipoweka mshale mwekundu.

No comments:
Post a Comment